Ishi mahali pa bustani

BUSTANI VILLAS

KUANZIA 396,900 USD

Nyumba yako binafsi
katika ardhi ya Zanzibar.

Bustani ni mahali pa kifahari, jirani na soko la kisasa, nyumba za ubora wa juu zenye vyumba vya kulala 3 hadi 5, zikiwa zimejengwa katika viunga vizuri, kila moja ikiwa imejengwa kwa mtindo wake kwa ajili ya kupata mandhari nzuri na mazingira binafsi. 

Zimekamilika kwa vionjo na mvuto, nyumba hizi zimebuniwa ili kukufariji na kukuliwaza kiakili. Nyumba iliyokamilishwa kwa ubora wa juu, ikiwa na bustani za mimea ya kitropiki- ni ardhi yako binafsi ya Zanzibar.
Nyumba kubwa ya vyumba 3 vya kulala
KUANZIA 396,900 USD
Eneo la kiwanja kuanzia: 282.2 sqm
Eneo jumla la sebule: 194.3 sqm
Eneo la ndani tu la kuishi: 137.4 sqm
DSQ: 9.9 sqm
Roshani & Varanda ya Juu:: 56.9
Bwawa: 2x8m 
Eneo la maegesho: 2
Pakua Maelezo
Nyumba kubwa ya vyumba 5 vya kulala
KUANZIA 528,900 USD
Eneo la ndani tu la kuishi: 294 sqm
Eneo jumla la sebule: mita za mraba 293.7
Eneo la ndani tu la kuishi: 223.5 sqm
DSQ: 9.9 sqm
Roshani & Veranda ya Juu: 60.3
Bwawa: 2x8m
Eneo la maegesho: 2
Pakua Maelezo
Maktaba Ya picha
Whatsapp Nasi 
swSW