Jenga ndoto yako.
Kwa kasi yako.

FUMBA KIJANI

KUANZIA 82,500 USD

Tengeneza ndoto yako. Kwa kasi yako.

Kwa Fumba inayokua na yenye ujirani wa aina tofauti uliounganishwa katika uzuri unaoongezeka daima wa FumbaTown. Jenga nyumba ya ndoto yako binafsi na fanya maono yako yakaonekana hapa. Pata wakati na marafiki na uwapendao, burudani ya nyumba ya mtindo wako na Amani inayokuja kwa kuishi katika mazingira bora ya asili.

Fumba Greens inatavutia familia nyingi na watu binafsi wanaotaka kujenga kwa nmana ya mawazo na dira yao kwa kasi yao,wakati wote wakifurahia huduma za hali ya juu na miundombinu ya Fumba Town.
Mpangilio wa Hali ya Juu
69
Viwanja 69 kutoka 330 - 908 m2
Mpango wa malipo ya miezi 36, riba 0%
36
Mpango wa malipo wa miezi, riba ya 0%
Viwanja kutoka 330 sqm

Aina ya Viwanja
Ga (Vinavyotazama bahari): fidia 500 USD/sqm
Gb (mstari wa 2): fidia 400 USD/sqm
F (katikati): fidia 250 USD/sqm

Pakua masharti na vigezo kuzingatiwa.
Whatsapp Nasi