Kimkakati maeneo haya yaliyo ndani ya mpango mkubwa wa Fumba Town ni ya kibiashara kwa ajili yako ili kuwezesha biashara yako kukua. Kuanzia biashara ya reja reja na huduma za kijamii, kutoka maghala hadi maeneo ya ofisi, kutoka maduka makubwa hadi maeneo ya kuoshea magari- fursa zilizopo hazina mwisho.
Wasiliana nasi kwa biashara unayotaka kuendesha, tutakutafutia eneo sahihi kwa ajili yako na wateja wako.