Mpangilio wa shughuli maalum.
Utamaduni mchanganyiko unaopendeza.

NYUMBA ZA MWANGANI

KUANZIA 37,900 USD

Kutoka nyumba ndogo hadi nyumba kubwa. 
Kutoka uwekezaji wa gharama nafuu hadi makazi ya familia.

Nyumba za Mwangani zimepangiliwa vizuri katika viunga na bustani za kijani za hali ya hewa ya kiikweta ili kupokea upepo mwanana wa bahari na mwonekano wa machweo ya jua la kitropiki ya pwani ya Zanzibar.

Kila nyumba ina nafasi ya kuona mandhari ya miti hadi bahari ya Hindi na visiwa vya Zanzibar na pia mji wa Fumba wenye utamaduni mchanganyiko wa kimataifa, mahali unapopaita nyumbani.

Kutoka nyumba za kujibana kama uwekezaji wa kwanza hadi kwenda kwenye nyumba yenye nafasi ya vyumba vya kulala 3 ikiwa nyumba yako mpya ya familia - Nyumba za Mwangani zinakupa fursa za kushangaza unapoingia katika maisha ya Fumba
Ndogo kwa nafasi. Kubwa kwa Matumizi
Nyumba ndogo
KUANZIA 37,900 USD
Kitengo cha kutazama
Nyumba za Mwangani 4 zina: Makabati ya jikoni, sinki na sehemu ya kuandalia mapishi, makabati ya nguo yaliyojengewa ukutani katika vyumba vyote vya kulala, feni za darini katika vyumba vya kulala na sebule, sakafu iliyowekwa tarazo, vifaa vya umeme, msalani na maliwato.Vitu vya ziada vinapatikana: Vyombo vya jikoni, AC.
Pakua Maelezo
Fungua mpangilio. Matumizi rahisi.
Nyumba ya chumba 1 cha Kulala
KUANZIA 67,900 USD
Kitengo cha kutazama
Nyumba za Mwangani 4 zina: Makabati ya jikoni, sinki na sehemu ya kuandalia mapishi, makabati ya nguo yaliyojengewa ukutani katika vyumba vyote vya kulala, feni za darini katika vyumba vya kulala na sebule, sakafu iliyowekwa tarazo, vifaa vya umeme, msalani na maliwato.Vitu vya ziada vinapatikana: Vyombo vya jikoni, AC.
Pakua Maelezo
Mwonekano maridhawa. Upepo mwanana.
Nyumba kubwa ya vyumba 2
KUANZIA 93,900 USD
Kitengo cha kutazama
Nyumba za Mwangani 4 zina: Makabati ya jikoni, sinki na sehemu ya kuandalia mapishi, makabati ya nguo yaliyojengewa ukutani katika vyumba vyote vya kulala, feni za darini katika vyumba vya kulala na sebule, sakafu iliyowekwa tarazo, vifaa vya umeme, msalani na maliwato.Vitu vya ziada vinapatikana: Vyombo vya jikoni, AC.
Pakua Maelezo
Jisikie mwangaza. Starehe nyumbani.
Nyumba kubwa ya vyumba 2
KUANZIA 110,900 USD
Nyumba za Mwangani 6 zina vifu vifuatavyo: Mkabati ya jikonis, sinki na sehemu ya kuandalia mapishi, makabati ya nguo yaliyojengewa katika vyumba vyote vya kulala,sakafu ya tarazo, vifaa vya umeme, msalani na maliwato, +AC katika vyumba vya kulala na sebuleni, +lifti, +Taa za Mapambo, Vitu vya ziada vipo kama vile vyombo vya jikoni, feni za darini .
Pakua Maelezo
Nafasi kubwa. Kwa ajili yako na familia yako.
Nyumba ya vyumba 3
KUANZIA 141,900 USD
Nyumba za Mwangani 6 zina vifu vifuatavyo: Mkabati ya jikonis, sinki na sehemu ya kuandalia mapishi, makabati ya nguo yaliyojengewa katika vyumba vyote vya kulala,sakafu ya tarazo, vifaa vya umeme, msalani na maliwato, +AC katika vyumba vya kulala na sebuleni, +lifti, +Taa za Mapambo, Vitu vya ziada vipo kama vile vyombo vya jikoni, feni za darini .
Pakua Maelezo
Kuangalia mandhari ya bahari. Mwonekano wa mji juu ya paa.
Nyumba kubwa ya vyumba vitatu 3
KUANZIA 317,900 USD
Nyumba za Mwangani 6 zina vifu vifuatavyo: Mkabati ya jikonis, sinki na sehemu ya kuandalia mapishi, makabati ya nguo yaliyojengewa katika vyumba vyote vya kulala,sakafu ya tarazo, vifaa vya umeme, msalani na maliwato, +AC katika vyumba vya kulala na sebuleni, +lifti, +Taa za Mapambo, Vitu vya ziada vipo kama vile vyombo vya jikoni, feni za darini .
Pakua Maelezo
Maktaba Ya picha
Whatsapp Nasi