Kuishi Fumba ni kuishi katika ndoto ya mafanikio. Ndoto ya maisha ya kisasa, kujinafasi, salama na maisha yenye utamaduni mchanganyiko (kimataifa) katika kisiwa cha hali ya hewa ya Kitropiki. Maisha ya upepo wa bahari na starehe ya kisasa, maisha yenye mpangilio mpya na endelevu.
It’s our pleasure to reside in Fumba Town, which takes Zanzibar to a higher phase! We are proud to call Fumba our home.
Ruhee Manji
Pakistani
Fumba Town kwa kweli ni maisha ya jumuiya , yenye nafasi kwa familia. Uongozi wa Fumba Town daima uko tayari kujibu swali lolote na kukusaidia kuishi hapo. Suala la usalama ni kipaumbele cha juu kwa kila mtu na tunashukuru kuwa sehemu ya familia ya Fumba Town.
Familia ya Etienne
Afrika Kusini
We are living in Fumba Town because it’s a safe and healthy environment for our family.
Ben & Gladys
Zanzibar
We’ve invested in Fumba Town because of its exceptional value for money in a state-of-the-art environment.
Mustafa & Zahra
Dar es Salaam
Panga nyumba Fumba Town
Kuishi Fumba Town kunaleta hali ya kuishi kijumuiya, kiusalama na hali nzuri kwa ujumla.
The son of Femi Kuti and grandson of Fela Kuti headlined one of the best Busara festivals ever By Andrea Tapper He flew into Zanzibar, capturing the hearts of music fans from all over. Afrobeat musician Mádé Kuti, 28, and his wife Inedoye, 25, made time for an exclusive interview with THE FUMBA TIMES before […]