Kuishi Fumba ni kuishi katika ndoto ya mafanikio. Ndoto ya maisha ya kisasa, kujinafasi, salama na maisha yenye utamaduni mchanganyiko (kimataifa) katika kisiwa cha hali ya hewa ya Kitropiki. Maisha ya upepo wa bahari na starehe ya kisasa, maisha yenye mpangilio mpya na endelevu.
Ni furaha yetu kuishi Fumba Town ambayo hupandisha hadhi ya Zanzibar. Tunajivunia kuita Fumba Town nyumbani kwetu.
Ruhee Manji
Pakistani
Fumba Town kwa kweli ni maisha ya jumuiya , yenye nafasi kwa familia. Uongozi wa Fumba Town daima uko tayari kujibu swali lolote na kukusaidia kuishi hapo. Suala la usalama ni kipaumbele cha juu kwa kila mtu na tunashukuru kuwa sehemu ya familia ya Fumba Town.
Familia ya Etienne
Afrika Kusini
Tunaishi Fumba Town kwa sababu ni salama na mahali penye mazingira mazuri kwa familia yetu.
Ben & Gladys
Zanzibar
Tunaishi Fumba Town kwa sababu ni salama na mahali penye mazingira mazuri kwa familia yetu.
Mustafa & Zahra
Dar es Salaam
Panga nyumba Fumba Town
Kuishi Fumba Town kunaleta hali ya kuishi kijumuiya, kiusalama na hali nzuri kwa ujumla.
Holiest month in Islamic calendar in Zanzibar Cooking during Ramadan: Alfreeda Bozen (photo) has prepared a special iftar dish for us Ramadan (also: Ramadhan), a month-long period of fasting from sunrise to sunset, and opulent iftar meals at night, is for Muslims all over the world a festive and contemplative time. Depending on the sighting […]
A bar counter on the balcony. An airy open kitchen. A feeling of space in a tiny two-bedroom – how an architect worked miracles in his Fumba apartment. Aaaah, finally on holiday! The apartment of Shabani Mwatawala, an architect from Dar, certainly feels like a 5-star hotel room. From his bedroom, from the living room […]